Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,509
- 7,263
Tangia walipopigwa faini kwa uzembe wao sasa wameamua kuwaibia wananchi kwa nguvu. Jana niliweka vocha ya 1,000. Nikajiunga na kifurushi cha 500 cha University.
Ukibonyeza *148*00#
Wakawa wamenipatia
1.Sh500=Dk30+SMS200+MB200 (Saa24)
Baadae naangalia salio limebaki 350, nacheki baadae imebaki 200. Nawapigia wananiambia umejiunga na Kifurushi cha hadithi ambacho unakatwa 150.
Utapeli wenyewe sasa
1. Kifurushi chenyewe sijajiunga nacho
2. Hadithi sijatumiwa mpaka sasa
Huu mtandao haufai kabisa. Baada ya kuona imebaki 500. Wameamua waje na gia uchwara ili waimalizie kabisa.
Kuanzia leo natupa line ya Tigo chooni. Meniuzi sana. Mgesema kama mnataka hiyo hela na siyo kuja na gia uchwara ya hadithi. Kama meshindwa kazi uzeni kampuni. Baada mfanye kazi meanza kutapeli TCRA hiyo faini ni ndogo sana. Next time muwapige faini ya bilion 10 kwasabb wameanza kutapeli.