Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,609
- 6,357
Wadau wa mtandao wa TIGO hii imekaaje kifurushi cha tigo "saizi yako" MB za usiku kuanza kutumika saa 7usiku badala ya saa 5 usiku kama ilivyo kua kawaida? Huku si kuumizana na kutesana.
Akeshe kisa kuperuzi hahahaha si bora aongeze buku hapo apate cha kutumia mchana na usiku siku saba hizo hizo...Ndio mkeshe.
Tigo Snr mkuu sio tigo jrtiGO ipi?
Akeshe kisa kuperuzi hahahaha si bora aongeze buku hapo apate cha kutumia mchana na usiku siku saba hizo hizo...



Kwakweli
Bure ghali.
HahahaSaa saba usiku mpaka saa 11 alfajiriYaani wamelenga mulemule umejichokea zako unalala wao ndo wanataka uanze kutumia bundle lao
Bongo figisufigisu ni nyingi mnoo kila kona ujanja ujanja
mkuu naomba menyu yako ya mwanzo nianze kuitumia na waweze nipa saizi yanguWadau wa mtandao wa TIGO hii imekaaje kifurushi cha tigo "saizi yako" MB za usiku kuanza kutumika saa 7usiku badala ya saa 5 usiku kama ilivyo kua kawaida? Huku si kuumizana na kutesana. View attachment 1132785
Saa saba usiku mpaka saa 11 alfajiriYaani wamelenga mulemule umejichokea zako unalala wao ndo wanataka uanze kutumia bundle lao
Bongo figisufigisu ni nyingi mnoo kila kona ujanja ujanja
Kama una mawasiliano na walio nje muda huo si mbaya ukifanya mawasliano naoNdio maana unatambulika kama mtandao wa wanafunzi!
Hiii unaipataje mkuuu?Bora wewe, me wananipa hivyo yaani kwa siku tatu!View attachment 1132809