Tigo SMS Leo vipi?

Tigo SMS Leo vipi?

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Au Ni Mimi tu ndugu zangu..Toka Asubuhi SMS haziendi..Labda kupiga..Wenzangu SMS zinaenda??
 
Hilo tatizo lipo tangu saa5 na kuna topic zipo humu kuliongelea hilo na at least hali imeanza kuwa nzuri sasa.
 
Mimi hakuna cha sms wala call. Ukipiga inaakata hapohapo
 
Sio kwa sms pekee hata simu na internet zote hamna toka asubuhi ya leo
 
hata ukiwa na mtandao mwingine ukiwatumia tigo haiendi sijui kulikoni
 
Mtu yeyote anaetumia mtandao wa tigo huwa namuona kama mtu asiye makini.
 
Ni tatizo dogo,tunarekebisha.Hata Toyota walikosea wakarudisha magari kiwandani.Mtuvumilie bandugu
 
Back
Top Bottom