Tigo sijapenda kitendo chenu cha kuingilia maongezi yangu

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Hivi mna naana gani ku interrupt maongezi yangu kwa ajili ya kiniambia eti muda wangu wa maongezi umebaki dakika moja?

Simu yangu ninyi inawahusu nini, kwanini kama basi ni lazima kiniambia msiweke tu hata beep ya kunitarifu, this is unacceptable, najua mtapita hapa, fanyieni kazi mapungufu hayo Mara moja.

Thank you for understanding.
 
Kampuni yenyewe inaitwa tiego, unategemea nini zaidi ya mambo ya kitiego tiego? kama hayo??
 
Hivi mna naana gani ku interrupt maongezi yangu kwa ajili ya kiniambia eti muda wangu wa maongezi umebaki dakika moja?

Simu yangu ninyi inawahusu nini, kwanini kama basi ni lazima kiniambia msiweke tu hata beep ya kunitarifu, this is unacceptable, najua mtapita hapa, fanyieni kazi mapungufu hayo Mara moja.

Thank you for understanding.
Ni kitu cha ajabu sana tigo wanachotufanyia, angalizo la tigo wanalolitoa halina maana wala mantiki yeyote, maana kama muda umekwisha umekwisha tu! kunasababu gani kutukumbusha? Nafikiri hebu angalieni jambo hili kwa hekima, muda wa mtu wa maongezi ukiisha wewe kata tu hapa MNACHEMKA
 
Simu TZ hazina privacy, inawezekana kampuni za simu zinatumiwa kuingilia siri za watu.
 
hako kasauti nilikasikia siku moja nikajua kademu kangu kameanza kujua ngeli kucheki hamadi ujumbe huu umebakiwa na sekunde 61
 
Ni kitu cha ajabu sana tigo wanachotufanyia, angalizo la tigo wanalolitoa halina maana wala mantiki yeyote, maana kama muda umekwisha umekwisha tu! kunasababu gani kutukumbusha? Nafikiri hebu angalieni jambo hili kwa hekima, muda wa mtu wa maongezi ukiisha wewe kata tu hapa MNACHEMKA

asante sana kwa uelewa wako Anold
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom