Tigo pesa wamecopy (cloning) features za NALA apps ya benjamin fernandes

Nov 28, 2018
96
150
Nisikiliza amplifier ya Millard ayo, nasikiliza tangazo LA Tigo pesa apps yaana wamecopy features za NALA apps kama zilivyo. Na hii itakua changamoto Kwa Benjamin Fernande's, inabid awekeze kwenye advertising ili aweze ku-scalling up tofaut na apo atakua anafanya ubunifu makampuni makubwa yacopy, ili kupambana NATO awekeze kwenye advertising
 
C_O

Member
Jan 3, 2019
54
125

That is the meaning of competition pia that is the word of business mfano wa facebook unadhihilisha kabisa kwamb kuw mtu wa kwanz kuw na idea nzur doesn't mean u win infact great idea has nothing do to with business success aijarish how brilliant your idea is
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,230
2,000

Imekufa Maxmalipo itakuwa NALA??
 
The Dark Father

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
1,084
2,000
Nala basically inatumia mifumo hiyo ya kifedha ya hii mitandao kama some sort of API.

Nala ilichofanya ni kutengenezea Graphical User Interface mifumo hiyo ambayo kimsingi ni ya hiyo mitandao ili kuondoa setbacks za interface ya USSD inayokuja na simu.

Sasa tigo nao wameamua tu kujiongeza maana at the end of the day ni mfumo wao na data zao.

Nala had it coming... Lilikuwa ni suala la muda tu.
Tho, uzuri wao, app yao ina-combine connection kwa mitandao yote mikubwa. Ila bado sio kitu cha maana.
 
Ulichoongea ni kweli wazo lake ni zur ila LA kawaida ndo maana imekua rahis kucopiwa na Tigo pesa,
 
Nov 28, 2018
96
150
That is the meaning of competition pia that is the word of business mfano wa facebook unadhihilisha kabisa kwamb kuw mtu wa kwanz kuw na idea nzur doesn't mean u win infact great idea has nothing do to with business success aijarish how brilliant your idea is
Ndo maana nikamalizia nikasema jamaa ajitahid kuwekeza kwenye advertising ili aweze ku-scalling kirahis, in short in business strategy hayuko vizur na hii itamcost sana
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,817
2,000
Write your reply...huyo NALA angeigeuza app yake iwe ya online payment platform,akaifanyia advertising ya kutosha lazima angepickup,mitandaoni hasa insta kuna page kibao za biashara za mitandaon,hata humu jf jukwaa hili,yeye angeplay rule kuwa kama kina Alipay,paypal etc,na angeanza na wateja wachache kama test run ya project
 
Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,856
2,000
NALA anaweza kuingia kwenye mikopo pia kama ilivyo branch. Akajaribu kuwa tofauti kidogo
 
Tattoo

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,885
2,000
nala atusaidie sisi tunaoshindwa kupokea pesa paypal.....zaidi ya hapo sijiungi nala yake. Haina maana yoyote. Tigopesa app ipo muda mrefu tu. Nala haina jipya
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,126
2,000
Tigo pesa app ilikuwepo hata kabla ya nala na pengine hata kabla ya benjamini kurudi bongo
Yes ilikuwepona ilikuwa ni lazima uwe na internet ili uweze kufanya transactions na matumizi mengine...

Anachomaanisha mleta mada ni kuwa tiGO app kwa sasa unaweza itumia pasipo kuwepo kwa internet na ni kitu ambacho kwa mara ya kwanza NALA ndio walikiintroduce...

Hata hivyo mleta mada anashindwa tu kuelewa kuwa GUI sio teknolojia inayozibeba hizi apps mbili isipokuwa ni value added tu...

Nyuma ya pazia nadhani hizo apps zote mbili zinatumia USSD codes kama kawaida ambayo huwa haina haja ya kuwa na internet...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom