Zote mbili nauza laki tano nPM kama unataka tufanye biashara
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Zote mbili nauza laki tano nPM kama unataka tufanye biashara
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nipo DarUpo wapi Mkuu?
Vip zinauwezo wa kusajiri pia?
Umefanya vizuri umeuliza , line ni hadimu na ukimpata aliyesajili kwajina lake manake niza ukweliHivi kwani huko kwenye hayo makampuni wameacha kusajili mawakala wengine? Kama bado kwa nini mtu ununue uwakala uliosajiliwa kwa jina la mtu mwingine wakati nafasi ya kujisjili kwa jina lako ipo?
Watanzania kwa kupenda michepuko? Halafu baadae mnalia mmepigwa!
Sent from my iPad using JamiiForums