Tigo pesa,M-pesa ± halo pesa

Tigo pesa,M-pesa ± halo pesa

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,052
Reaction score
749
Wazima humu? Samahani naomba kujua bei za na jinsi ya kupata line za uwakala wa tigo pesa,m-pesa,airtel - money msaada ndg zangu!
 
kuna mtu anaweza kukusaidia bt yy tigo +voda + airtel zote tato 580k na zote zinakuwa kwa majina yako ukitaka ni pm nikuunganishe nae
 
Njoo na leseni na tin njia ya shekilango big bon kuna wakala pale mkuu chin wanauza ges
 
Tembelea Vodashop na ofisi za hyo mitandao nyingine ukiwa na leseni na tin namba huduma hii inapatikana bure
 
wakuu kwa anaehita tigo+mpesa +airtel money zote tatu kwa majina yako bei ni fixed 580k hakuna punguzo hapo

maana nasumbuliwa inbox kuhusu punguzo wakuu sehem yeyote lain utazipata ingawa ukiwa dar au mbeya tutaonana physically thankx
 
Dar na mbeya mkuu bt hata mikoa mingine unaweza kuhudumiwa
 
Back
Top Bottom