hiyo kitu ni FAKE mnapoteza muda. Kuingia kwenye database za mitandao sio kazi rahisi namna hiyo. Ni vigumu mtu ku-write kwenye database... kila anaye access database (hao wafanyakazi) wana credentials zao ambazo zinawaruhusu kusoma/kuandika kwenye database na kuna log files ambazo zitakuwa zinaandika activities zote za wafanyakazi. Sasa huyu jamaa anavyosema hiyo hack ina access database za tigo bado sitaki kuamini kabisa unless aweke direct link hapa watu tutest.