Huyu jamaa mgeni bongo nini? Usikute ni diaspora kashazoea at&t na verizon!
Hii ndio bongo, mitandao yetu haipigiwi nyimbo, ishakata mauno! Na ana bahati sana, angeambiwa alijiunga na huduma ya hadithi asingeamini macho yake. Wameamua kumvungia tu.
Ukiacha balance ina hang italiwa tu maana hamna namna ingine!