Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Wizi sana hao ukiacha tu salio wanaibaTigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa.
Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama dakika 7 hivi nikawa nimemaliza.
Nilivyomaliza nikasema hii 1,000/- iliyobaki niunge kifurushi kingine isije ikaliwa, mara nikaambiwa salio langu halitoshi, nikiangalia salio sioni bundle lingine nililojiunga, make bundle la internet lipo na lile nililojiunga lipo.
Nikawapigia, wakatafuta kama kuna huduma nimejiunga hawakuona kitu, wakaniambia nipige baada ya masaa 3 wanakuwa wamepata taarifa ya mahali imekwenda.
Asubuhi nimepiga nikajibiwa vile vile kwamba hawaoni kitu.
Kumekuwa na malalamiko kwenye hii mitandao ya simu kwamba ukiacha hela wanaifyeka, lakini not to this extent aisee.
Sijui kama TCRA haya malalamiko hayajawafikia, ila kuna kitu inabidi kifanyike, ni too much.
Usithubutu kuacha salio in form of vocha.
Wataiparura tuu.
Ukiacha salio bila kujiunga kifurushi umekwisha
akili yangu ilienda mbaaali ulipo sema tigo. pole kwa mkasa
Tigo hii nnayoijua ama tigo ule mtandao pendwa kwa wanaume wa dar?Tigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa.
Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama dakika 7 hivi nikawa nimemaliza.
Nilivyomaliza nikasema hii 1,000/- iliyobaki niunge kifurushi kingine isije ikaliwa, mara nikaambiwa salio langu halitoshi, nikiangalia salio sioni bundle lingine nililojiunga, make bundle la internet lipo na lile nililojiunga lipo.
Nikawapigia, wakatafuta kama kuna huduma nimejiunga hawakuona kitu, wakaniambia nipige baada ya masaa 3 wanakuwa wamepata taarifa ya mahali imekwenda.
Asubuhi nimepiga nikajibiwa vile vile kwamba hawaoni kitu.
Kumekuwa na malalamiko kwenye hii mitandao ya simu kwamba ukiacha hela wanaifyeka, lakini not to this extent aisee.
Sijui kama TCRA haya malalamiko hayajawafikia, ila kuna kitu inabidi kifanyike, ni too much.
Umenunua vocha ya jero sema tu ukweli,hapa umebadilisha tu.
Zama za kununua vocha zilishapita mie nina miaka sijawahi nunua vocha , tgo pesa ndo suruhisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanna mkuu,unatoa tu pesa kutoka tigo pesa na inakua mtinda was vocha wanaita muda was maongezi yani no bure kabisa huna haja ya kununua vochaKuna bundle huwa najiunga ambalo huwezi kununua straight kwa tigo pesa, ni lazima iwe vocha.