S sayicom Member Jul 2, 2011 66 1 Sep 28, 2012 #1 PIGA SIMU BURE TUMA SMS BURE TUMIA INTERNET BURE KWA SH 3500 Hii kitu inaukweli wowote?
The Don JF-Expert Member Dec 2, 2011 3,499 1,163 Sep 28, 2012 #2 Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu
S sayicom Member Jul 2, 2011 66 1 Sep 28, 2012 Thread starter #3 Gaspery lasway said: Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu Click to expand... nilikuwa nauliza sio kwamba natangaza watu wajiunge nilikuwa nahitaji kujua habari ya hii kitu
Gaspery lasway said: Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu Click to expand... nilikuwa nauliza sio kwamba natangaza watu wajiunge nilikuwa nahitaji kujua habari ya hii kitu
Advicer JF-Expert Member Nov 21, 2010 533 272 Sep 28, 2012 #4 Afu hata me nimeisikia mda mrefu sana bt y tigo hawareact?
JosephElly JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,432 1,034 Sep 28, 2012 #5 Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu
Firewall JF-Expert Member Aug 18, 2012 272 61 Sep 28, 2012 #6 Donn said: Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu Click to expand... Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2!
Donn said: Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu Click to expand... Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2!
JosephElly JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,432 1,034 Sep 28, 2012 #7 Firewall said: Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2! Click to expand... nahisi ni mtu yule yule tu anatumia majina ya watu maarufu tu
Firewall said: Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2! Click to expand... nahisi ni mtu yule yule tu anatumia majina ya watu maarufu tu