Japo siku hizi wamezidiwa...na wizi ni mwingi. Siwezi hama ajili ya kupatikana nje ya nchi. Kwan nautumia nkiwa hapa hapa ndani ya nchi.Tigo ukivuka mpaka wa tanzania huna mawasiliano tena!hata kenya hupati kitu.airtel popote duniani unapata mawasiliano
Huu ndio u$€N*€ usiotakiwa huu.
Wamesababisha usumbufu wa kiasi gani mpaka warudishe hiyohiyo hela iliyoshindikana?
Jana nimenunua Luku karibia mara 4, kila nkinunua inakataa.
Mwisho inakuja kuniletea meseji kibao za ule umeme uliokataa.
Sasa nina meseji za umeme wa karibia laki 1 na nusu, hiyo hela si ningefanyia kitu kingine?
Jamani tiGo hebu jirekebisheni upesi, hii imezidi sasa!!, wife yupo nje ya nchi ananitumia msg then mi nareply kumbe msg zangu hazipati na wakati hela nyie mmeshakata, siku ya kwanza wife alidhani mi nimemchunia mpaka usiku alipoamua kunipigia simu na kuanza kulalamika. Jamani hebu wekeni mambo yenu sawa, halafu na hizo hela mnazokata zinaniuma sana, ni hela nyingi, muwe vilevile na utaratibu wa kurudisha hizo pesa.
Agrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
Zain hawana sera. Walikuwa na wateja wengi tu lakini kiburi chao cha kuwa bei juu wateja wakahama na sasa wanaanza upya kukusanya wateja na kampeni 'hamia airtel' hatuji ng'oo! Fungeni mtandao wajanja wako Voda. Halaf hii tabia ya cm kuita unapokea unaambiwa karibu airtel na promo kibao sijui imetoka wapi bora namba ikiita ionyeshe airtel. Inaleta usumbufu sana.tcra kazi yao nini au ndio wanalipwa na haya makampuni alafu wanakaa kimya hata ukilogde complain haifanyiwi kazi....fuk tigo..fuk voda and fuk all the phone companies that steal from people..let hack their system and make them pay watu wenyewe wanakwepa kodi halafu ndio wezi...hamia zaini