Tcra Naona Wapo Kwa ajili ya Matumizi ya Mitandao ya Kijamii Kwa wanaotoa Lugha Chafu Lakini Sijuwi Kama Wanashughulikia na Mambo Kama Haya Hizi Kelele za Watu Kuibiwa na Mitandao ya Simu Hazijaanza Leo.Maajabu ya Tcra wanaliona Lakini wanajifanya Hawaoni.