Tigo mnatuibia wateja wenu kwanini?

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosema.
Nimewavumilia Leo Nimeona Bora tu Niseme Kama Mtanisikia na Kunielewa.

Mmekua na Tabia ya Kuhamisha Vifurushi Hata Kama Muda wa Kuishia Haujafika.
Mfano Jana Saa 11 Jioni Nimejiunga na Kifurushi Cha Sh.1000 Dakika 19 Mitandao yote Nimetumia Zikabaki Sekunde Kama 650.

Leo Asubuhi Nimecheki Salio Lipo Nilipotaka Kupiga Simu tu Nikaambiwa Salio Langu Halitoshi Yani Mmeshahamisha na Kifurushi Kilitakiwa Kiishe Saa 11 Jioni Au Kiishe kwa Matumizi.

TCRA Hamuuoni Wizi Huu?
 
Unaeshangaa ni Wewe tu Mana Mimi Nishapiga Sana Tigo Huduma kwa Wateja Kuhusu Tatizo Hilo Lakini Wanachonijibu Hata Hakieleweki na Mamlaka Husika Husika Zipo Zipo tu.!
 
Wezi sana hao, unanunua bando la 800mb unatumia siku mbili kwa matumizi ya kawaida tu unakuta imeisha, bando hilo hilo mitandao mingine unatumia wiki nzima
 
Wezi sana hao, unanunua bando la 800mb unatumia siku mbili kwa matumizi ya kawaida tu unakuta imeisha, bando hilo hilo mitandao mingine unatumia wiki nzima
Yani we hacha tu Tunaibiwa wazi wazi.
 
Maajabu ya Tcra wanaliona Lakini wanajifanya Hawaoni.
Tcra Naona Wapo Kwa ajili ya Matumizi ya Mitandao ya Kijamii Kwa wanaotoa Lugha Chafu Lakini Sijuwi Kama Wanashughulikia na Mambo Kama Haya Hizi Kelele za Watu Kuibiwa na Mitandao ya Simu Hazijaanza Leo.
 
Tigo ni kawaida sana kupiga panga za hivyo.

Ukiwahoji sana watakwambia system inaonesha umejiunga na huduma flan.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom