Kwa nn hamtaki kurejesh fedha za watu pindi zinapotumwa kimakosa kwa tigo pesa? wiki nzima mnasema mnashughulikia pamoja na swala hilo kuripotiwa kwenu hakuna jitihada zozote zinazofanyika au ndyo mmejenga kiburi kwa sababu makampuni ya simu ni machache? Naendelea kuwasumbua ili haki yangu irudi baada ya hapo nahama mtandao wenu hii kero sasa imetosha