BABA NI CCM
Member
- Nov 24, 2018
- 86
- 98
View attachment 960615
Hili tangazo kuanzia audio iliyopo maredioni hadi picha pamoja na hali ya mjadala wa ushoga uliotawala taifa na dunia kwa sasa swali langu kwenu mtandao wa Tigo.
Tigo mnafeli wapi!?, ni kwamba mmekosa idara yenu ya masoko ipo wapi?, hivi hamna sera na kanuni za maadili?. Sawa mnaweza kusema ni biashara na uchekeshaji
Naomba baraza la sanaa, kamati ya maadili taifa pamoja na jumuiya yangu wa wazazi CCM embu mulikieni upya hili tangazo halina picha na jumbe nzuri kwa taifa letu.
Ikumbukwe hatufungii tu nyimbo zinazopotosha maadili bali hata haya matangazo na maigizo yanayokiuka maadili yetu ya asili ni yakufungia na faini juu. Hili liwe fundisho.
Wabadili jina au sio?Yaani nikisikia tu Tigo nawaza Amber Ruty huu mtandao hata utoe ofa ya kunipa huduma za mawasiliano bure milele siwezi kukubali.
Licha ya jina yaani sina mawazo nao hata kidogo. Niliwahi kukutana na mawakala wa Tigo nikawaambia wazi nachukia mtandao wenu pia huu upuuzi wa Joti kujigeuza jike kwenye matangazo yao hufanya nizidi kuuona wa ajabu.Wabadili jina au sio?
Kumbe ww ndie unazingua watu wetu wa branding.......hata mimi hili tangazo sijalipenda, walileta kubandika ofisini kwangu nikalikataa, wakabandika lingine
yap, nazingua kweli, wao wataletaje mipicha ya ajabu ajabu, ofisi yangu wanaingia watu na heshima zaoKumbe ww ndie unazingua watu wetu wa branding.......
Picha sio issue, cha mhimu ni ujumbe unaokuwa kwenye tangazo hapo. Mfano, ongeza salio ushinde mamilionyap, nazingua kweli, wao wataletaje mipicha ya ajabu ajabu, ofisi yangu wanaingia watu na heshima zao
Picha sio issue, cha mhimu ni ujumbe unaokuwa kwenye tangazo hapo. Mfano, ongeza salio ushinde mamilion
Sitaki kuamini Kama mtoa Mada ni kilaza namna hii yan unaacha kushinikiza serikali iangalie mambo ya msingi kama uchumi kuanguka na maswala mengine yenye tija unaanza kuleta Mada kitoto
Picha sio issue, cha mhimu ni ujumbe unaokuwa kwenye tangazo hapo. Mfano, ongeza salio ushinde mamilion