Tigo message zenu mnasumbua hadi wageni.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,543
Salamu zenu tigo.
Aiseee tigo muna boa kweli yaani sasa hivi hizi sms zenu zimekuwa offside sasa maana yake kila muda ni bonus hata kama mtu hataki bado mnakandamiza hivyo hivyo atake asitake mara kidogo utasikia pata bonus pata bonus, mfano mimi line yako tangia 2007 sijajiunga na chochote kile ktk huduma zenu zaidi ya kuweka vocha na kupiga na ku sms lakini kila siku mnatuletea ma sms ya kulazimisha ma offer. Utakuta mtu unasubiria sms kutoka kwa mpenzi wako kwa hamu mara inaingia sms tii! tii! unajua ni mpenzi huyo karudisha jibu kumbe unakuta kitu "PATA OFFER"
Muwe munapitia ni namba zipi zinastahili kutumiwa sms na zipi hazistahili, japo mnatupa taarifa kama wateja wenu lakini isiwe kwa siku mara 10. Hii tu kwa mswahili ambaye kashazoea vurugu vipi kwa wageni kutoka nje, usumbufu wanao upata na ndio maana watu makini huwezi kuwakuta wakitumia huu mtandao.
 
Wajinga sana yani mimi nilikua nasubir mtu anitumie pesa mara ikaingia msg imeandikwa tigopesa fasta nikawai kwa wakala kufika nafungua kumbe niupuuzi wao pumbavu kabisa
 
Hata voda nao wameanza nao Meseji za kipuuzi.

Hatutaki jamani..watumieni wafanyakazi wenu na familia zao
 
Wajinga sana yani mimi nilikua nasubir mtu anitumie pesa mara ikaingia msg imeandikwa tigopesa fasta nikawai kwa wakala kufika nafungua kumbe niupuuzi wao pumbavu kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tg ni shida kama huna salio wanatuma msg nyingi ,...salio lako halitoshi...kukopa..." kwa siku zaidi 10 hata usiku wa manane.
 
Wajinga sana yani mimi nilikua nasubir mtu anitumie pesa mara ikaingia msg imeandikwa tigopesa fasta nikawai kwa wakala kufika nafungua kumbe niupuuzi wao pumbavu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…