adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Tigo nimewashtukia baada kufanya upelelezi mfano me nilieka vocha buku5 nikasema ngoja nijiunge na buku kwa internet msg ya uthibisho nikapokea cha ajabu nikidownload inakula ktk bando na salio iliobaki tena inakula balaa ndani ya lisaa imebaki 210 na mb40 dahh msione kila mtu ndezi tigo acheni wizi