Tigo kifushi cha chuo kunani

Tigo kifushi cha chuo kunani

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu tangu Jana najaribu kuunga kifurushi cha chuo sikioni kwenye menu kama ilivyozoeleka...hichi kifurushi kimefutwa rasmi nini
 
Wakuu tangu Jana najaribu kuunga kifurushi cha chuo sikioni kwenye menu kama ilivyozoeleka...hichi kifurushi kimefutwa rasmi nini
Wamefulia hao mi na week ss sikion pumbav zao....... nimerud zang voda kwa speed kali huk uni ofa naipata bila tabuuuu
 
Mkuu umejiunga vipi mbona wengine tukiingia kwenye menu hatukioni
Kawaida kama unavyoona hapo mkuu....
Screenshot_20180606-095229.jpg
 
Wakuu tangu Jana najaribu kuunga kifurushi cha chuo sikioni kwenye menu kama ilivyozoeleka...hichi kifurushi kimefutwa rasmi nini

Hapa mbona mm najiunga, Wewe Mkuu unatumia tiGo ipi hiyo.??? ingia *148*00# then Ofa maalumu utakikuta
 
Voda nao wanazingua mpaka leo hii lain yangu hawajai-activate kuwa ya chuo na walikuja chuo tukaandika namba zetu
 
pongezi kwako tafadhari una miatano unapewa mb 800 unakosa nn? ety
Mimi najiunga 5000 Napata 7gb. Hata ikiisha kabla ya huo mwezi Naona Sawa Nakuwa nimetumia Vya kutosha kuliko mwanzo nilikuwa najiunga airtel 2000 unapata 1 gb
 
Back
Top Bottom