MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
togo????????????????
Hii ni mara ya pili huu mkampuni wa simu unapoteza network bila maelezo wala kuombana radhi..Watu wanaitumia kampuni kwa malengo mengi ikiwa sasa ni bank ya mkononi pia.
Zanzibar tangu jana hakuna kitu kinaitwa Tigo network zaidi ya kuona mabango barabarani..
Iz crezy end i am fedap on dhis kampany....
Mkuu mbona hata Vodacom siku hizi inapotea hewani sana. Unapiga simu unaambiwa namba haipatikani au iko busy wakati siyo kweli. I experienced this mostly in Arusha sijui kuna nini kule..mitandao naona kama wateja wamekuwa wengi kushinda uwezo wake..
TIGO will always be number one network,
utasema weee oohh TIGO inakufa lakini you know yourself huwezi hama TIGO,
Because TIGO is most friendly network in TANZANIA!
Tigo ndo mpango mzima,inafuata airtel
sema waliniuthi jana baada ya kuniunganisha kwenye extreme bila mimi kuomba hii huduma na kutoza 450tsh.waliniboa sana
Mkuu naona ulisoma st mtakatifu fulani.
kuna kampuni kubwa ya simu inakuja inaitwa 4G mobile inamilikiwa na akina kalamagi inakuja.itakuwa moto chini.[/QUOTE
Bila shaka kutokana na mapato ya migawo yake toka mikataba feki aliyosaini alipokuwa waziri! Uzuri kwake ni kwamba anakula na wakulu wa nchi vinginevyo angeshavimbiwa ila siku zake zinahesabika za kujibu madhambi ya kuanzia TICTS hadi ile mikataba ya kitandani I mean Guest Houses za Uingereza.