Mtoto wa mzungu
New Member
- Feb 8, 2011
- 2
- 0
Nifanye nn kuweza kununua bundle kwa tigo internet.? Nahitaji na bei ya bundle wadau.?
Mimi huwa natumia bundle ya siku,wanakata sh 450,unatuma neno light day kwenda 15166,ila wanakupa access ya internet for two full days!
mbona nimeomba siku moja na wanakata kila siku Tshs 450?