Tigo Internet Prices have Skyrocketed

huduma ya mawasiliano ni anasa kwa Tanzania-sijui TCRA wanafanya kazi gani,kama mjuavyo makampuni ya simu yapo katika kundi la oligopoly market hivyo labda makampuni mengine nayo ikawa hivyo

Daaaaaaah yaaani imekuwa anasa kabisaaaaaa,bei ni za hovyo sana
 
MI NAKOMAA NA TTCL BANDIKA BANDUA 5000-GB 8 WEEK SIO MBAYA KWANGU


MADOGO NILOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
 
Mnaanza kuwa kama Ethiopia sasa.

Mb -200 unainunua kwa $4
KUNA KIPINDI NILISIKIA TANZANIA NDIYO NCHI KWA AFRICA AMBAYO BUNDLE ZA INTERNET NI CHEAP SIJUI KUNA UKWELI

MADOGO NILIOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
 
[emoji115]
 
Achana na hao wapuuzi, Zantel watakupa 1GB kwa buku tena ukiwa nje ya Dar ni Unlimited mpaka utakapokimaliza. Kwanini ukumbatie washenzi mkuu? On top of that kuna dakika 45 mitandao yote bila kikomo kwa buku hio hio kama ilivyo halichachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…