etiii?????
Habari ndiyo hiyo!
Hiyo ni propaganda ya washindani wao, pamoja na habari hiyo tiGO bado wako chini kuliko mitandao mingine.
Habari ndiyo hiyo!
aaaah Shadow bana...
ngoja kuanzia sasa hivi kila nikilonga nacheki salio
Naona ulishaibiwa long time.
Shida ni kuwa sina hakika kama ile theory ya Mkuu wetu inaweza kutumika hapa. Alisema kuwa ni lazima, uliwe ili na wewe uweze kula ("kula uliwe"). Sasa hawa jamaa wa TiGO wameshatula, tunaweza kuwala na sisi?
Mi nlishastuka siku nyiiingi. Nlikuwa na shs 140 kwa simu nikajua ntalonga zaidi ya dk 2.... Kudadadeki hazikufika hata dk 2 zenyewe. Baada ya makalkulesheni yangu nikagundua wanakula zaidi ya tshs 75 kwa dk! Lakini kwangu nikaona poa tu nikilinganisha na wengine..... Nikaendelea kujiexpress na ntaendelea till further notice.nimeliwa tena nahisi sana tu..........
naanza kuweka record na bill ikicha nalinganisha na record yangu, kama ni kweli sasa sijui ntafanyaje.....
i will see
Kama wewe ni wa kucheki salio kabla na baada ya kupiga simu kila unapotaka kupiga simu, BASI UWEZO WA KUMILIKI SIMU BADO HUJAUFIKIA..............ila unalazimisha tuKweli hata mimi nilihisi kuibiwa kwani ukiangalia salio kabla na baada ya kutwanga simu huwa haviendani!
Kama wewe ni wa kucheki salio kabla na baada ya kupiga simu kila unapotaka kupiga simu, BASI UWEZO WA KUMILIKI SIMU BADO HUJAUFIKIA..............ila unalazimisha tu