K kambi7 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 773 Reaction score 589 Jan 18, 2014 #1 habari za sa izi wakuu, direct kwenye mada nisiwachoshe jamaani hizi vocha za tigo haswa za miatano(jero) ukikwangua kidogo tu zinafuta baadhi ya number .tubaadilishieni bana msitufanyie makusudi ni hayo tu wakuu
habari za sa izi wakuu, direct kwenye mada nisiwachoshe jamaani hizi vocha za tigo haswa za miatano(jero) ukikwangua kidogo tu zinafuta baadhi ya number .tubaadilishieni bana msitufanyie makusudi ni hayo tu wakuu
kivava JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 5,772 Reaction score 4,933 Jan 18, 2014 #2 Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo
Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jan 18, 2014 #3 Ninamda mlefu sijatumia vocha hiyo ya mia 500 ila poleni kama ndivyo zilivyo Tigo wasikilizeni wateja.
Ninamda mlefu sijatumia vocha hiyo ya mia 500 ila poleni kama ndivyo zilivyo Tigo wasikilizeni wateja.
Bharabhona kitwe Member Joined Dec 21, 2012 Posts 28 Reaction score 3 Jan 18, 2014 #4 Hilo tatizo linaweza tatuliwa.TiGo iko bomba sana internet yake ina kasi balaaaaa.Hongereni sana TiGo
Hilo tatizo linaweza tatuliwa.TiGo iko bomba sana internet yake ina kasi balaaaaa.Hongereni sana TiGo
K kambi7 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 773 Reaction score 589 Jan 19, 2014 Thread starter #5 kivava said: Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo Click to expand... watakua wanatufanyia makusudi hawa jamaa
kivava said: Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo Click to expand... watakua wanatufanyia makusudi hawa jamaa
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,451 Reaction score 631 Jan 19, 2014 #6 next time nunua tigo rusha
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,064 Reaction score 3,633 Jan 19, 2014 #7 nilidhani ni mimi pekee kua bingwa wa kukwangua sana vocha,kumbe ni tatizo!
Likata Senior Member Joined Nov 17, 2013 Posts 104 Reaction score 29 Jan 19, 2014 #8 Nunua kwa tigo pesa