Tigo Graduate Management Trainee

Tigo Graduate Management Trainee

mshaija8792

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
6
Reaction score
3
Haya kwa wale fresh masters graduates inawahusu hii. Experience less than one year hawataki experience hawa uwezo wako tuu. Na kama una experience hata usijisumbue ku apply. They are looking for young future managers.
 
Nilijua labda ungeweka na link au contacts na maelekezo mf. jinsi ya ku'aply etc, kumbe umeelezea tuu!!
 
Nilijua labda ungeweka na link au contacts na maelekezo mf. jinsi ya ku'aply etc, kumbe umeelezea tuu!!
mkuu si umeshajua ni tiGO ndo wanataka watu? kwanini usiende kwenye website yao mkuu? Google tigo Tanzania itakufikisha, waswahili bhana, kupata kazi ni mapambano, pambana .... kua creative.
 
Jembe Ndibalema upo ?ulishamaliza master au

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hamna vimemo vovote! Sema mboga ndogo! Mi nawajau watu wamepata bila vimemo! Ngoja na mie mwakani nijitose kama itakuwepo! G.P.A yenyewe 1 sijui itakuwaje! Experience si naiondoa kwenye cv tu! Kwani deni?
 
Madam Lara... shikamoo, mambo, igweeee, zote izo pokea! Ombi langu kwako ni moja tu: nisaidie kutafuta kazi hapa mjini, vinginevyo nakimbia jiji. It seems wewe jiji hili unalo kiganjani, but kwa mwananchi wa kawaida kama mimi ambaye nilikuja mjini kwa lifti ya msafara wa mbio za mwenge... channel hazisomi. Ebu tupeni michongo nyie wakongwe wa mji. cheers...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom