Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,166
- 2,611
Yeeeraah Bablai uku Chigidi-Chuga. Mbanga ni moko tu asee!!
Ni Tigo Figidi-Fiesitraa 2019 Saizi yake Levels Baby.Msafara wa Tigo Fiesta2019 Apa Chugamaica ambao ulitimba Mornie jana,kutoka duas ya Aim Mall mpaka Fas ya Sheikh Amri Abeid ni Kisanganga Mzee wangu kama unavodekerea pichani.
Bila kusahau ile Collaboree ya Mamiloox Meena Ally na Machalii wa Machaparara shazi Chuga Dalala/Dance nao wamefanya mafekechenizm yao ile kibingwa Chaliangu.
Fiesta Chuga haijawahi kua ya kawaida ata day moko Bablinyoo.
Machalii na ma'manzi wote wa Ngusero,Njiro,Ngareroo,K-Juu,Sakinade,Ngalimi,Ngaramtoni,Mianziwisee fanyeni iyo Morrow ku'print moko moko by ngoko kipande ya Sheikh Amri Abeid Tukichararuee.
@NgarenaroBoy.