Mimi lilinikuta kwa halotel hatakufungua page inachukua muda, halafu baada ya masaa kadhaa wananitumia msg kuwa bundle limeisha, nilibaski nashngaa. Nikaona isiwe tabu nikarudi nyumbani voda japo vifurushi vyao bei ila bora nlipe pesa nipate huduma nzuri.
Unatumia GB 7 tu mwezi mzima????We uko wapi, mm nimehamia tigo sina stress hata kidogo. Natumia elf 15 napata 100min all net, na 7 gb mwezi mzima
Unatumia GB 7 tu mwezi mzima????
Mi sio mtoto boss muda mwingi natafuta hela kwa ajili ya familia yangu. Nyie mnaoshinda utube na whatsap ndo haziwatoshiMmmmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wakati wengine hata weeek haitoshi
Unajiungaje hii mkuuWe uko wapi, mm nimehamia tigo sina stress hata kidogo. Natumia elf 15 napata 100min all net, na 7 gb mwezi mzima
Usiseme hivyo mkuu, wengine ni mafundi simu upande wa software, binafsi natumia kima cha chini kabisa GB 5 kwa siku, na hapo ndo mtandao hauna spidiMi sio mtoto boss muda mwingi natafuta hela kwa ajili ya familia yangu. Nyie mnaoshinda utube na whatsap ndo haziwatoshi
duh. kunbe ndio hivyo mkuu. lakini inakata kabisa,sometimesHiyo inakuwa Limited Speed. Yaani wanakupangia wao.
Hata Voda wana hiyo tabia ukinunua lile bando la elfu 20 Gb 20 unakutana na Limited Speed ila ukinunua bando la saa 24 Speed iko vizuri mno.