Tigo Browsing Speed ni aje its been like 48 hours sasa!!?

Tigo Browsing Speed ni aje its been like 48 hours sasa!!?

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
974
Reaction score
564
Habari zenu wanajamii kunatatizo kubwa katika internet ya Tigo nime experience hku naa kama 48 hours sasa Browsing speed ina matatizo sana.. pages hazimalizi kuload na zingine zinaload tu bila kufunguka na zingine zinafunguka only half.. but katika downloading speed iko poa idm, torrents, youtube and streaming online speed is as fast as usual 350 KBPS nivipi au ni mimi tu napata haya matatizo..
Webpages ambazo zinatatizo kufungua hizi mojawapo:-

Facebook.com hii inahitaji kurefresh like 3 times ndo ina appear nusu sehemu ya kulogin lakini ile part ya Timeline haitokei.. BUT ukishalogin inakupoa haizingui...

Mediafire, Wupload hii kufunguka ni bahati sana loading loading loading... WTF!!? :frusty:

Google inafunguka but page haimalizi kuload ata ipita muda gani inaload tu....

Nimejaribu kutomia proxy za Marekani na Brazil kunawakati zilisaidia kutatua hili tatizo but after a while lina rudi pale pale

Au Tigo mnataka tudownload tuu.. nimedownload mpaka nimechoka rekebisheni mitambo yenu basi.. hii ni kero sasa!! 😡
 
Back
Top Bottom