mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
nilijiunga MB 400 nikadownload kitu cha mb 4 mkaambiwa zimeisha
Watakuwa wanatumwa na CCM.Cha ajabu wakishakata hiyo 150 ya hadithi nayo hadithi utumiwi ndiyo ujue kuwa ni wezi waliokubuhu.
Nimemchana nao Leo Rasmi baada ya kuniibia salio. Na upande wa MB ndo usiseme, nimewabwaganilijiunga MB 400 nikadownload kitu cha mb 4 mkaambiwa zimeisha
Au labda alisikiliza njiapanda jpili sasa ndio wamemkata.Wamekupigia hadithi gani hizo za 150.
Umejiunga mwenyewe bla kujijua. Nenda kwenye hyo App ya hadithi ujiondoe vinginevyo watakukata kila siku.Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!
Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
alafu ukiwapigia hawapokei Tigo Tanzania acheni WiziNimemchana nao Leo Rasmi baada ya kuniibia salio. Na upande wa MB ndo usiseme, nimewabwaga
Mkuu natumia Nokia tochi kwa line ya tigo, hakuna App yoyote hapo.Umejiunga mwenyewe bla kujijua. Nenda kwenye hyo App ya hadithi ujiondoe vinginevyo watakukata kila siku.