Tigo acheni wizi!

Tigo acheni wizi!

hopetumaini

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
529
Reaction score
317
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!

Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
 
Mkuuu mtandao wa tigo mimi kwang nmeshawazoea nkiweka salio najiunga hapohapo sisubir
 
Ni wezi tu hawa. Wanakuunga kwenye vitu vya ajabu ajabu kwa lazima halafu ukitaka wakuondoe wanakuelekeza jinsi ya kujiondoa kwa huduma waliyo kuunga wao ili wakuibie
 
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!

Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
Aisee mkuu, hawa TIGO ni wahuni sana, tena sana. Mimi pia nilikutana na tatizo hilo hilo wiki iliyopita na nilipowauliza wakanipa jibu kama hilo hilo walilokupatia wewe. Hawa jamaa wanaiba pesa za watu kwa nguvu. Mimi nafikiria wateja wote tuliofanyiwa uhuni huu, tuungane na kuwashataki hawa jamaa pale TCRA. Tukilalamika tu humu JF haitasaidia kitu kabisa.

Hebu fikiria kama wakiiba hiyo Tsh.150 kwa wateja 500,000 wanatengeneza Tsh 75,000,000 (milioni 75) kwa siku. Hii ni pesa mingi sana wanaipata kiujanja ujanja. Jamani naomba tuungane tuwashitaki hawa TIGO.
 
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!

Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
Hao jamaa ndiyo zao. Wanapiga pesa sana kwa njia hii ya utapeli. Mm wameshanifanyia huo mchezo.
Tigo ukiweka salio ujiunge hapo hapo, ukiweka salio ukaacha unakuta wameshakata, ukiwapigia unaambiwa ulijiunga na hadithi. Mpaka ww mwenyew unashangaa, nilijiunga lini?
Mtandao wa tigo, ni kawaida yao, wanakuunganisha wenyewe, na usipojitoa wanakukata tena. Usije jaribu sijui umenunua vocha ya 1000 ukajiunga 500 hiyo iliyobaki wanakutapeli kwa njia ya hadithi.Kwahiyo ukinunua vocha jiunge yote
 
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!

Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
Mkuu mi nakushauri wasikilizishe tu watoto au wajukuu zako hizo hadithi, watafurahi sana
 
Hata mimi nilinunua 1500 jioni kuja kuangalia morni nakuta imepungua. Nikawapigia wakanambia nimetuma sms, so imekatwa. Mind you nimejiunga kifurushi cha sms cha mwezi. Baada ya kuona kuna tatizo wakanambia watafanyia kazi. Mpaka leo pesa yangu haijarudi
 
Hakuna sheria za kuwabana hao maana wakisema wewe ndo umeunga unakuwa hauna ujanja. Hapa kuna umuhimi wa kuwekewa huduma za kuacha taarifa kwenye simu zetu kila tunapotumia ili iwe rahisi kuwakamata
 
Hawa kawaida yao yan mimi nina mwaka wananifanyia ujinga huo kila nikiweka salio.....linaisha na ukiwauliza wanasema tigo hadithi nikaaa nafwatilia taratibu nikajua ni michezo yao kuwakata hela watu kilazima
Mara ya mwisho nimeongea na customer care wao alinijibu ivo niliongea sikutaka kujibishana nae coz sio kosa lake kufanya huo ujinga wa utapeli
 
Back
Top Bottom