Tigo Acheni Roho Mbaya Mnakeraaa!!

Tigo Acheni Roho Mbaya Mnakeraaa!!

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Happy new year Wakuu More blessing more successful
Tushukuru Mungu Hakika Tumeuona

Wajameni Hawa Wanao Jiita Tigo Wanakera Sana Naomba Uzi Huu Uwafikie Waache Hila Na roho Zachuki

Hii Nikama Mara tatu Au Nne Katika Kila Mwaka Mpya Wanakata Mawasiliano Yangu SMS Haziendi Call Naambiwa Siwezi Kuunga Nishwa

Nimejipanga Kupigia Familiar Yangu ku wish Happy new year Nashangaa SMS zinagoma
Call Zina Kataa Vile Vile

WAMEUHARIBU usiku wangu
Ukitizama Nimeweka Kifurushi Chakutosheleza

Niwaombe Acheni Drama Tigo Mnaboa Mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi wangu tumekosana kiasi, niliongeza MBs kwa tigopesa nikarudishiwa muhamala
 
Tigo hata wanipe s11 plus ijayo na bando la miaka 10 bure siwezi kutumia mtandao wao.
 
Hivi tigo kwanini mwafanya hivi

Nilijiunga kifurushi cha sms cha mwezi wiki mbili zilizopita baada ya kama siku 6 nikajiunga kifurushi cha combo sms na dakika

Tatizo linakuja pale kifurushi cha wiki kilipoisha wakasitisha na kile cha sms cha mwezi eti nacho kimeisha wakati sms 3000 za mwezi sijatumia hata 150
 
Back
Top Bottom