Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,768
Kuna tangazo la kampuni ya tigo linalolenga kupromote speed ya 4G. Kwakweli hili tangazo halina utu hata kidogo. Wamemtumia kijana mwenye kigugumizi akijaribu kumsifia Mbwana Samatta. Eti anavyoongea polepole kwa kigugumizi ndiyo anawakilisha speed ndogo ya intanet. Acheni hizo. Kuweni na ubinananana..da...da.....da....muu.muu