lapo elkann
Member
- Jul 11, 2015
- 67
- 19
Sio hayo tu. Hata "opinion polls" za mwaka 2015 zilipoonyesha kuwa Lowassa atashindwa na Magufulu walipinga wakasema zile polls ziliendeshwa ili kuonyesha kuwa Magufuli atashinda. Bahati mbaya kwao matokeo ya uchaguzi halisi yakatoka na kuthibitisha usahihi wa opinion polls.
Hufai na wala huna sifa ya kuwa mwanahabari!JPM kesho akienda kuhojiwa,atabanwa kwanini anazuia maandamano na mikutano ambayo ipo kikatiba?Au umeanza kumsikiliza Tido juzi?Ulisikia alivyomhoji Dr Tulia,kila mtu alimsifia Tido!K
Kwa kifupi alionyesha wazi kuwa sasa JPM amemaliza kila kitu hakuna haja ya kulalamika, maandamano etc! Alikuwa anatoa maswali akiwa na majibu yake tayari na hukumu yake. Nimeeleza humu
Tido aliuliza maswali vizuri sana!Kiukweli Mimi sikubaliani na ccm katika mambo mengi ila kusema Tido alikuwa ameegemea huko si sawa!Siku zote ukitaka kuwa mwanahabari bora,kuwa kama uko upande tofauti na mgeni wako!Hapo ndio utapata maswali ya msingi ya kuhoji!Rudi nyuma,kamsikilize Tido akimhoji Dr Tulia!Unatakiwa kufahamu kwamba Tido as a broadcast journalist hatakiwi kuonyesha political inclinations zake katika mahojiano labda kama angekuwa anatumika katika chombo ambacho ni declared wazi wazi msimamo wake wa kisiasa; kwa mfano Uhuru na Mzalendo 4 CCM au Tanzania Daima 4 CDM/UKAWA; lakini sio Azam media ambayo haijaweka wazi msimamo wake, that is the point kwamba kitaaluma sio sawa, sio kwamba Tido asiwe na uegemezi wake kisiasa la hasha.
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Sawa kwa Tulia aliweza, jana hajafikia viwango tunavyomtegemea! Full stop!Hufai na wala huna sifa ya kuwa mwanahabari!JPM kesho akienda kuhojiwa,atabanwa kwanini anazuia maandamano na mikutano ambayo ipo kikatiba?Au umeanza kumsikiliza Tido juzi?Ulisikia alivyomhoji Dr Tulia,kila mtu alimsifia Tido!
Mahojiano/uandishi wa habari is not a a rare profession! Ndio maana kuna waandishiwa habari kutoka vyuo vya kipuuzi na wanafanya mahojiano!ushamfanyia nani mahojiano?
hana lolote ni kada la ccm na njaa pia inamsumbua huwezi kuchaguliwa tbc kama sio kada la ccmSio kweli,Tido yuko neutral kabisa,nasikiliza hapa naona anajenga maswali mazuri
We vipi?Hujui kuwa yuko Azam TV?Hujui kuwa alifukuzwa TBC baada ya kuwa objective kwa kazi yake tofauti na ccm walivyotakahana lolote ni kada la ccm na njaa pia inamsumbua huwezi kuchaguliwa tbc kama sio kada la ccm
Ulitaka aulizwe maswali yepi labda ili ujue yuko neutral