Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,241
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?Tido huwa harembi,
Na hapendelei ccm, anakutandika na issue jinsi zilivyo.
Fuatilia ujue kilichomtoa TBC
Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!Tido huwa harembi,
Na hapendelei ccm, anakutandika na issue jinsi zilivyo.
Fuatilia ujue kilichomtoa TBC
Mweleze na JPM akubali kukosolewa, kumbe hujui unachokiongea, unapelekwa na mapenzi ambayo ni un-philosophical!Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Wewe ni philosophical, kama umemsikiliza unaona kabisa kuwa kuna hali ya kutubu, kuifurahisha serikali. Unceremonial exit aliyoi-experience imemjengea woga. Kama ulivyosema akifanya mchezo anahatarisha mahusiano ya mwajili wake na serikali particularly katika era hii ya viashiria vya udikiteita!Exit yake TBC ilikuwa ya maumivu na fedheha sana, kwa hali ya sasa hivi anahisi wanamfuatilia; Anajaribu kucheza salama kulinda maslahi ya mwajiri wake asije ku_antagonize tajiri yake na serikali ya hapa kazi tu!
Fanya homework hakuna spoon feeding,Ulitaka aulizwe maswali yepi labda ili ujue yuko neutral
Being senior is not and does not prove or guarantee perfection! Anaowatumbua JPM ni senior! Unasemajeyaani weee akili yako ni kama kuku anataka ahoji unavyotaka wewe,Tido ni senior journalist anajua angle za maswali,punguza ushabiki baba
Yah hta mimi nimeona. Lowasa si wakumuamini anaweza kurud CCM muda wowote.Wewe ni philosophical, kama umemsikiliza unaona kabisa kuwa kuna hali ya kutubu, kuifurahisha serikali. Unceremonial exit aliyoi-experience imemjengea woga. Kama ulivyosema akifanya mchezo anahatarisha mahusiano ya mwajili wake na serikali particularly katika era hii ya viashiria vya udikiteita!
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Wewe ukapimwe sio bure. Ulitaka ahoji vp ili aonekane ni Chadema?Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Kwani Lowassa kashikiwa mdomo?Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!