Huyu mleta mada kuna kitu anakwepa yawezekana anajua wazi kua watu wakielewa vizuri hali itakua mbaya zaidi. TICTS wao wanashughulika zaidi na contena services wakati bandali wao wapo kote kwa maana ya kontena services, general cargo etc. TPA hawawezi kukwepa ufisadi kama wa mafuta, meli kukaa mda mrefu bandalini, ufisadi katika ajira na mengineyo hata akipiga mayowe mwezi mzima.