Du!! yaani niko nyuma kiasi hiki? Unajua toka nilipokuta vurugu taifa hadi kuibiwa simu yangu tena nikiwa na mgeni nilikataa kufuatilia Timu za ndani. Niliposikia tena kuna watu wameng'oa viti ndo kwanza nika switch off ligue ya Tanzania. Sasa kumbe kuna ka utaratibu ka kistaarabu?
Sasa altenatively kama sina kadi hiyo ninafanyaje? Naweza kununua kwa selcom vendor hawa wa mitaani?