Ticket Air Tanzania sio Fair

kennyhilary

New Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
3
Reaction score
7
Usafiri wa Anga Kwa Air Tanzania Dar es slaam to Mwanza gharama yake sio ya uchumi wa Mtanzania Tiketi zipo juu sana ukilinganisha na kipindi cha miezi sita nyuma
Sababu itakua nini?
au watanzania sasa wameimarika kiuchumi ?
 
Attachments

  • IMG_7274.jpeg
    83.6 KB · Views: 4
Kata masaa mawili na dakika 10 kabla ya safari kuanza utapata kwa nafuu Sana

Niliwahi safiri Mwanza dar kwa 140k na WA pembeni yangu alilipa 700k
 
Usafiri wa Anga Kwa Air Tanzania Dar es slaam to Mwanza gharama yake sio ya uchumi wa Mtanzania Tiketi zipo juu sana ukilinganisha na kipindi cha miezi sita nyuma
Sababu itakua nini?
au watanzania sasa wameimarika kiuchumi ?
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…