Ticha wa somo gani huyu?

Hisabati.maana lazima kitu kisahihishwe
 
Ticha wa vibonzo huyo, we subiri uone zombies tu kwenye mitihani.
 
Darasa moja wanafunzi 150 unategemea nini hapo?
 
standing alawansi na correction alawansi...maana wabunge wanapeana sitting alawansi...
 
Yaani mpaka anasikia ugwadu mamaaaeeeee
 
Ndio maana yake sasa.hisabati si kila mwanafunzi anasoma?(primary)
Au ulizania wapi Sangarara?
sonnita labda uniambie hilo darasa lina wanafunzi mia tano, kwa kawaida darasa lenye wanafunzi say 100 wanafunzi wengi sana kukusanya madaftari ya hisabati hawawezi kuzidi 30.

mi kwa mtazamo wangu apo wamekusanya karibia darasa Zima, hivyo hilo somo kuwa ni hisabati futa kabisa huo uwezekano.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…