Ticha na denti,kama ushaiona potezea

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Ticha: Ikitokea ufukuzwe na simba utafanyaje?
Denti :Nitapanda juu ya mti.

Ticha:Na simba akikufata juu ya mti je?
Denti: Nitaruka nikimbilie mtoni.

Ticha: Na akikufuata mtoni?
Denti: Aaaaaaah ticha vipi? Upo upande wangu ama wa simba?
 
tcha ni mkuda anataka ad dent aliwe na simba ndo ataacha kuulza!
 
Huyo ticha inaonesha ni mnoko kinoma shuleni huko
 
atakuwa ticha wa maarifa ya jamii tu huyu tena darasa la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…