Ticha kaamua kupata allowance, sasa kama wanafunzi wenyewe huwa wanaona umaarufu kutembea na waalimu, wengine wanapigana kwa sababu hii, me sioni shida.
WAALIMU WENGI WAMEOA WANAFUNZI WAO KUANZIA CHUO MPAKA PRIMARY.......
Kwa style hii inaonekana kama SIYO KUBAKA......Mtu kapozi kabisa KILENGWA kamwelekezea teacher.......Kama kweli ni Bongo basi tusiulize tena matokeo mabaya ya mitihani chanzo chake ni nini
Yaani hata mie nimeboreka kweli nikawa nimeshindwa nicoment nini sema tu fikra zako zimenipa moyo! Ni tatizo la watu wanaotumia muda mwingi katika maisha yao wakiwaza/wakifanya ngono! vitu vingine vya facebook wanavileta huku! Inaboa saaaaana!