Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Historia haikosei. Miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na sakata jingine liliitwa Richmond. Bunge likaunda kamati, ikaandikwa ripoti, tuhuma kali zikajitokeza, mheshimiwa Lowasa akaombwa atupishe tuteuwe mwingine. Sasa hivi watu walio wengi Tanzania wanamuomba Mungu usiku na mchana ili Lowasa awe raisi 2015. [hii ni kutokana na un-official kura ya maoni].
Mwaka huu 2014 sakata la Escrow limefumuka, wabunge wamecharuka ikaandikwa ripoti, pesa wamegawana wengine wamebeba kwenye mifuko ya rambo na magunia lakini mama Tibaijuka yeye kwa kujiamini akaziweka kwenye account yake binafsi. Kwa vile account ni ushahidi basi wamemchangamkia mama prof akaombwa atupishe tuteuwe mwingine.
Mwaka kesho 2015, tujiandae ..... Mheshimiwa Lowasa atakuwa Raisi, na Mheshimiwa Tibaijuka atakuwa Waziri mkuu. Sasa, ninyi mlioandika hizo ripoti na kushabikia mtakiona cha mtema kuni.
HATA KABLA SUALA LA ESCROW KUPOA UCHUNGUZI WA AWALI WA WAZEE WA KAZI UMEONESHA KUWA KISA CHA MAMA TIBAIJUKA ...KUTOLEWA SADAKA NI KITENDO CHAKE CHA KUZUIA JARIBIO LA KUMDHULUMU JAMES RUGEMARILA ASITAPELIWE .....KWANI WEZI WA ESCROW WALIPANGA KUTUMIA PESA ZA ESCROW BILA KUMLIPA RUGEMARILA AMBAYE ALIKUWA NA HAKI KISHERIA YA UMLIKI WA SHARE ASILIMIA 30 %
SING KWA KUSHIRIKIANA NA WABIA WAKE SIMBA TRUST ( australia registered ) .....Kampuni ya Mama na Watoto .....walipanga KUMDHULUMU James ...na Serikali all together ....
HASIRA ZA "MAMA " KUPUNGUZIWA MGAWO WAO BAADA YA ANNA TIBAIJUKA KUMSHTUA NA KUMSADIA JAMES ASITAPELIWE ....ZILIMFANYA MAMA KUFURA .....NA KUHAKIKISHA KUWA TIBA ANATOLEWA SADAKA ...WAKATI WALIOTAJWA WANAACHWA .....
KWENYE MKUTANO WA WAZEE KATIKA KUONESHA MSISITIZO MAMA MWENYEWE ALIHAKIKISHA ...ANAKUWEPO UKIMBINI HUKU AKIWA HANA MZAHA HATA KIDOGO ...AKIMUANGALIA MZEE AKIMFUTA KAZI TIBA KWA SHINGO UPANDE .....
NA PIA IMEBAINIKA KUWA MAMA NDIE ALIYELETA UKUMBINI WALE KINA MAMA ..MAALUM WALIOANDALIWA KUSHANGILIA KWA NGUVU NA KUKATIKA MAUNGO PALE MZEE ALIPOMTIMUA KAZI ..TIBA ...KWA WALIO UKUMBINI WALIONA NAMNA KUFUKUZWA KWA TIBA KULIVOPOKELEWA ...SEHEM KUBWA YA WALIOKUWA HAWAJUI KINCHOENDELEA HAWAKUSHANGILIA ...WENGINE WALISHANNGILIA KIDOGO TU WAKIWA NA TAFAKARI ..HUKU WALE KINAMAMA WALIOANDALIWA KULE NYUMA WAKICHAGIZA KWA KUCHANGILIA KWA NGUVU ....