Tiba zenye madhara

Hizo ni imani tu. Our mind is so powerful, esp when our conscious mind agree with the subconscious mind. Ingawa ni binaadamu wachache sana wameweza kuoanosha hivyo vitu kwa mafanikio
 
Hizo ni imani tu. Our mind is so powerful, esp when our conscious mind agree with the subconscious mind. Ingawa ni binaadamu wachache sana wameweza kuoanosha hivyo vitu kwa mafanikio
Si kila kitu ni imani....vingine ni live bila chembe ya imani....fuatilia maeneo yenye machinjio kisha ulizia historia yake......
Fanya uwekezaji wowote sehemu ya makaburi bila kufuata taratibu uone
 
Shamba ama kiwanja unachanganya na maji ama kuinyunyiza kama ilivyo kwenye pembe zote nne na katikati ....pia kuzunguka mipaka yote
Kwenye makazi ni hivyo hivyo kuzunguka nyumba nzima ndani na nje
Shukrani sana.
 
Si kila kitu ni imani....vingine ni live bila chembe ya imani....fuatilia maeneo yenye machinjio kisha ulizia historia yake......
Fanya uwekezaji wowote sehemu ya makaburi bila kufuata taratibu uone
Ila hapo kwenye makaburi ni noma. Hivi utajuaje na siku hizi kununua viwanja vya kupima.
 
Hivi Dhulma ni nini haswa? Je, ni kumkopa mtu pesa au kitu chakr na kutomrudishia?? Au ni kumpora mtu kitu na pengine hata kumpora mtu uhai wake?

Naomba kujua kama je , kumrusha mtu elfu 50 yake au laki nane yake bila kumuumiza kama ni dhuluma au sio dhuluma. Na kama ina madhara basi ina madhara gani
 
Ukitenda mambo hayo na mengine yanayofanana na hayo umetenda tofauti na haki , usawa na kujali....madhara yake yanakuja kwa njia nyingi tofauti na hayana formula
 
Tunayo Damu ya Mwana kondoo YESU KRISTO inatakasa Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…