Mimi niNinaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika kuponyesha magonjwa mbalimbali.
Sasa tunaomba uthibitisho wa ugonjwa gani wadau wetu walikuwa nayo na tiba waliyotumia ikawaponyesha salama salimini. Hii itatusaidia kutafuta tiba sahihi kunatokana na magonjwa mengi ambayo yanaibuka mara kwa mara.
Taja ugonjwa na tiba iliyokuponyesha hata ikiwezekana na daktari husika au dawa iliyokuponyesha.
Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena
Dawa ya Asili ya kutibu Typhoid chukua mbegu za Mpapai zikaushe kisha uzisage ziwe unga, na tumia kijiko cha unga wake kwa kuchanganya na majiMzizi Mkavu nisaidie dawa Asili ya Typhoid?
hahahaaaaaaa..
Haya bwana mzizimkavu i respect you from your valuable contribution to this forum......hope watakutafuta wenye matatizo hapo juu same applied to me
Ninaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika kuponyesha magonjwa mbalimbali.
Sasa tunaomba uthibitisho wa ugonjwa gani wadau wetu walikuwa nayo na tiba waliyotumia ikawaponyesha salama salimini. Hii itatusaidia kutafuta tiba sahihi kunatokana na magonjwa mengi ambayo yanaibuka mara kwa mara.
Taja ugonjwa na tiba iliyokuponyesha hata ikiwezekana na daktari husika au dawa iliyokuponyesha.
Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena​
Mkuu boda ukipona usikose kuja kuleta Feedback.Nashukuru sana MziziMkavu.
Ngojea utakapo Umwa na kwenda hospitali kisha huko hospitali wakwambie hakuna Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako kisha ndipo utakapo amini kuwa Dawa za mitishamba zinafanya kazi utakuja hapa hapa kushitakia maradhi yako ndipo utakapo amini kuwa kuna dawa za mitishamba tena zinasaidia .Huwa sina imani na miti shamba, sijui kwanini
Mkuu Unaweza kunitafuta kwaHahahaaaaaaa..
Haya bwana mzizimkavu I respect you from your valuable contribution to this forum......hope watakutafuta wenye matatizo hapo juu same applied to me
mkuu unaweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa
Mkuu boda ukipona usikose kuja kuleta Feedback.
Ngojea utakapo Umwa na kwenda hospitali kisha huko hospitali wakwambie hakuna Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako kisha ndipo utakapo amini kuwa Dawa za mitishamba zinafanya kazi utakuja hapa hapa kushitakia maradhi yako ndipo utakapo amini kuwa kuna dawa za mitishamba tena zinasaidia .
Kuumwa na kichwa kuna mambo mengihivi kitunguu swaumu plus tangawizi na mdalasini vitaondoa huku kuumwa kichwa kila jioni?
Vipi nikichanganya na mwarobaini sitopona kweli?
Mimi ni
mmojawapo nimewaponyesha wengi kwa dawa zangu za mitishamba siwezi kuzitaja hapa. Ila
ikitokea mtu anaumwa akinijia kwangu mimi kitu cha kwanza huwa ninamuuliza umekwenda
hospitali? je umetibiwa huko Hospitali hujapona? akinithibitishia kuwa hajapona na amemaliza
vipimo vyota vya Hospitali ndio ninaanza kumtibia kwa dawa zangu za Tiba Mbadala nimesha
watibu wenye matatizo ya figo, vidonda vya tumbo, Hepatit B, Kansa ya Kizazi, kunuka
mdomo, maradhi ya Presha, ugonjwa wa kisukari, Malaria, gesi tumboni, kichefu chefu,
kujisikia kutapika, kutopata mimba, maradhi ya Pumu,Maradhi ya ugonjwa Kifafa, Kupooza
upande mmoja wa uso,Maradhi ya kiharusi, kipanda uso, maumiu ya tumbo, ugonjwa wa
wasiwasi na maradhi ya mtu kuwa na jini mahaba pepo mchafu,Maradhi ya UTI,Maradhi ya Vidonda vya
koo Kupunguwa mtu kitambi tumbo
na unene na Dawa ya kuongeza Nguvu za kiume na dawa ya kuongeza uume kuwa mkubwa.
Hayo ni baadhi ya maradhi niliyo wahi kuyatibia na watu wamepona na unaweza kunitembelea
Blog yangu kwa kubonyeza hapa Mzizi Mkavu DAWA ZANGU NINAZO TUMIA HIZO HAPO
CHINI KWENYE PICHA.
isubiri itakujia tu hiyo siku wewe ingojea tu.Ndo hyo siku naisubiria mkuu
Mimi ni Mtaalam siwezi kuku PM wewe labda wewe uni PM mimi hebu tembelea Blog yangu bonyeza hapa Mzizi MkavuKuna mtu alisumbuka sana na ugonjwa wa michubuko sehemu ya Haja kubwa ametibiwa sana Hospital lakini wapi... alipotumia mafuta ya nyonyo kupakaa wiki haikwisha akapona.. Mzizi Mkavu chukua hiyo uwasaidie watu mafuta ya Nyonyo au mbarika yanatibu fissure..... na vioteo sehemu hizo ... ni PM