sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,953
Habari waungwana , nina tatizo LA miguu kuuma pindi niamkapo asubuhi , hasa huuma kwenye visigino pindi nikianza kutembea na nikitembea tembea inaacha kuuma.
Pia nikikaa muda mrefu , nikianza kutembea pia visigino huuma pia.
Msaada waungwana kwa Mwenye kujua tiba yake
Pia nikikaa muda mrefu , nikianza kutembea pia visigino huuma pia.
Msaada waungwana kwa Mwenye kujua tiba yake