Kama una matatizo ya meno kutoboka,kuoza na kuuma basi tumia mizizi/majani ya mirungi na matatizo yako yataisha.
kama meno yameoza,yametoboka,au yanauma basi chemsha mizizi ya mirungi acha maji yapoe na kisha sukutua mdomo kwa maji ya mirungi asubuhi na jioni kwa siku zisizopungua tatu.
kwa upande wa majani ya mirungi haya yanasaidia kukinga meno yasitoboke na kuyafanya yawe imara zaidi na kuondoa harufu mbaya mdomoni,tafuna majani ya mirungi mara kwa mara,lakini chukua
tahadhari kwa kua majani ya mirungi yanalevya,hivyo utakapo tafuna usimeze mate kama hauna nia ya kupata stimu au kua "handas".
ONYO: ni kosa kwa sheria ya nchi yetu kutumia au kukutwa na mirungi.
Chinga 1.
duuh inawezekana hata bangi ni dawa kwa style hii
duuh inawezekana hata bangi ni dawa kwa style hii
Mmhu. Mungu bariki sina matatizo ya meno 😀
duuh inawezekana hata bangi ni dawa kwa style hii
mkuu hujui bange ni dawa ya sikio?tena wanakwambia cha arusha ndo poa
Inatibia GLAUCOMA ...Achia mbali kuondoa MSONGO wa mawazo:smile-big:
asante ndugu i never knew this
- Upo sahihi kabisa, hujakosea. Bangi pia ni dawa.View attachment 109854
- Kama utahitaji hiki kitabu "Marijuana As Medicine?, The Science Beyond the Controversy (2000)" basi nijulishe niki_Upload hapa jukwaani.
marafiki, naombeni ushauri wa tiba ya meno ili kupunguza maumivu. nimemuona daktari mmoja akasema hayajafikia hatua ya kung'olewa (yapo mawili) ila alishauri nitumie dentamol tablets kutuliza maumivu, na nimetumia lkn maumivu yako pale pale
Hawa kweli sasa wanakuwa manyang'au, walioweka mbele maslahi yao badala ya nchi, wanaojilimbizia mali kwa kasi kubwa mno kwa kutumia njia za haramu bila woga wowote, kwa kifupi wamewatekeleza Watanzania.
Amka asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu kinga mkojo wako kisha sukutuwa mdomoni kwa dakika 5 kisha tema huo mkojo wako. Fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona na hutoweza tena kuyang'owa hayo meno yako tena. Jaribu kisha uje unipe Feedback.wadau nisaidieni, meno yangu (magego mawili ya chini na juu) yanapata maumivu makali sana, lakini daktari alienifanyia check up amesema hayajafikia hatua ya kung'oa. kanishuri nitumie "Denatamol tablets" lakini hazijanisaidia. NAOMBA USHAURI
Asatnte sanatumia amoxline,inasaidia.
full dose