Tiba ya meno

Tiba ya meno

SNIV Baby

New Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
3
Reaction score
1
Habari, waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa tu Ila hapa naomba kupata mawazo tofauti na hilo juu ni kwa muda jino limekua likinisumbua nimeshatoa kadhaa na likitolewa hili jingine hufuata sasa naona meno yataisha. Na sasa naandika haya nikiwa katika maumivu makali naomba kujua dawa ya kunisaidia katika hili.

SNIV Rockstar
 
Kuna tiba nyingi za meno na si kutoa tu. Nenda kwa dentist atakushauri matibabu mengine kama root canal hutopteza jino lako tena.

[emoji375][emoji375]
 
Asante

Nina matatizo kama ya huyo mkuu aliyeomba ushauri.Je ni gharama gani hutumika kufanya hiyo root canal.
 
Habari, waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa tu Ila hapa naomba kupata mawazo tofauti na hilo juu ni kwa muda jino limekua likinisumbua nimeshatoa kadhaa na likitolewa hili jingine hufuata sasa naona meno yataisha. Na sasa naandika haya nikiwa katika maumivu makali naomba kujua dawa ya kunisaidia katika hili.

SNIV Rockstar
Tunaondoa maumivu ya jino milele.
Linalouma
Lilililotoboka halitauma tena
Linalouma usiku
Linalouma likiguswa na kitu moto
Linalouma likiguswa na kitu baridi

Usipopona tunarudisha pesa yako
Kupona ni siku 3 tuu.
Tupo dar ubungo
Kariakoo
Moshi
Lushoto
Mombo
Pia Tunatuma kote Tanzania 0719796574
 
Back
Top Bottom