Majigo,
Nakuomba Njoo Kwangu Utulie na Mimi.
Me Sivaagi Suruali,
Navaaga Magunia na Madabwada tu.
Ila kiukweli ni ngumu sana kwa unayotaka.
Coz kumbuka ameanza vaa tangu hamfahamiani.
Ila yote kwa yote kama Anakulindia Heshima Yako Mbele ya Jamii ya nini Umuache?
Utakuwa kuna Lingine Unatuficha Mkuu.
Kama Angekuwa Mvaaji Wa Suruali Wala Nisingethubutu Kumtongoza!
Ishu Hapa Sio Uvaaji, Bali Kutoshirikishana Na Kuelewana Ktk Kilicho Bora!
ndio,Tena Sana Tu!
Akaniambia hamna Na anaridhka Nami Kwani Ndie Chaguo Lake!
Nipeni Mbinu Jamani!
RUTTASHOBORWA Unanipaga Mbinu Nyingi Sana Wewe,Nifanyeje Ili Anirudie Au Mimi Nimsahau?
ok,sa bro kumbuka when ur dealing with women its like dealing with young people at foolish age so inasaidia ka unaweza control urself.
Pia nnachokiona una mind yeye kuvaa bila kukutaarifu,kama ni ilo just forgive maana kusameheana kwenye mahusiano ni very productive lakini pia vitu kama patience,self control,listening b4 listened,trustworthy.......n.k are very helpful to make man play his role but pia kumbuka things changes gradual na vingine sio mpaka upige kelele au ufoke,unavichukua as if itc normal kisha unadeal navyo taratibu wakati mwingne sio lazima hata useme ile heshima na mazingra uliyomwekea anajikuta anakua vile unataka.
Ebu ona vile unapata shida unafikiria vi2 ambayo sio njema kwa gentleman kama wewe,ila kama dealing with the problem ni more painful kuliko vile uko sasa basi ningesema una afadhari lakini vinginevo rudi na usolve iyo mambo ni simple but not easy
ni miezi miwili sasa toka niachane na msichana kipenzi cha nafsi yangu,
chanzo ni kwamba hakutaka nisikiliza na kunishirikisha katika uvaaji wake wa suruali na kunywa pombe pale nilipomzuia!
Kwa hasira na omba yake msamaha nika jivua(tukaachana ila tukikutana ni salamu tu)
katika harakati za utafutaji imenilazimu kuhama mji aliopo...sasa niko mbali nae yapata miezi 2(hakuna mawasiliano)
najitambua...nasema tena najitambua ila kambi yangu inafuka moshi si kidogo,nilalapo ndio auheni kwangu kwani huyu binti anatawala sana akili yangu kiasi najikip bize kusoma hadith za shigongo, kuperuzi,mazoezi n.k ili kumsahau,lakini ari ni tete!
Nilichoamua sasa... Nimtafutie dawa itakayomfanya nae anipende na kunisikiliza katika yote mema,kama nisikiavyo kuwa kuna waganga wa haya mambo(limbwata)
ama nipate dawa ya kumsahau yeye!
Je,wapi nitapata haya mambo mbali na utapeli wa mjini? Kwa yeyote anaefahamu anipm tafadhari wakuu!
Nb😛ishana nami ila husitukane alama za miguu yangu,kwani utokako ndiko niendako!
Wote hampendani, sijaona sababu ya kuachana hapo. love can change some1, hajabadilika, hakupendi. na wewe umeshindwa kumuaccept kwa jambo dogo kama hilo je utaweza kuaccomodate weakness nyingine kubwa.? hampendani, period. kama kweli unampenda mrudie na umwambie kuwa huwezi ishi bila yeye alafu umbadilishe taratibu, atabadilika.
Heeeeee kumbeeeeeeeee SAMAHANIWe huyu ni babu hakimu sio bibi
Aiseeee babaangu da pekee ni kuukata uume wako utapenda tena
nawasilisha hoja