ukistaajabu ya Musa utaona ya Majigo.
Suruali zambi? Wee mbona hakutaka kukubadili uvaavyo?
Hebu kua kwanza.
Shangaa na wewe bibi hakimu!
Kuna tatizo gani na suruali?
Kuhusu hilo la kukusikiliza wewe, je na wewe unamsikiliza? Au ukiwa mwanamke basi hauna mapendeleo yako?
Kama ndivyo basi ndugu yangu utaacha wengi. Mahusiano ni compromise na si amri ya mtu mmoja.
sio Dhambi Ila Kutonishirikisha Kama Atabadiri Nilichomuambia, Kulinikasirisha!
sio Dhambi Ila Kutonishirikisha Kama Atabadiri Nilichomuambia, Kulinikasirisha!
Kukushirikikisha kivipi? Kila atakapotaka kuvaa suruali ni lazima akuombe ruhusa? au unamaanisha nini hasa? FUNGUKA!!! Dah!
Sikushauri suala la kutumia limbwata, nakuhakikishia badala ya kufurahi itakuwa ni kero kwako......... Utakuwa unafuatwa hadi chooni, utatamani ku-reverse the effect ya hilo limbwata, na hautaweza........Ni Miezi Miwili Sasa Toka Niachane Na Msichana Kipenzi Cha Nafsi Yangu,
Chanzo Ni Kwamba Hakutaka Nisikiliza Na Kunishirikisha Katika Uvaaji Wake Wa Suruali Na Kunywa Pombe Pale Nilipomzuia!
Kwa Hasira Na omba Yake Msamaha Nika Jivua(Tukaachana Ila Tukikutana Ni Salamu Tu)
Katika Harakati Za Utafutaji Imenilazimu Kuhama Mji Aliopo...sasa Niko Mbali Nae Yapata Miezi 2(Hakuna Mawasiliano)
Najitambua...Nasema Tena Najitambua Ila Kambi Yangu Inafuka Moshi Si Kidogo,Nilalapo Ndio Auheni Kwangu Kwani Huyu Binti Anatawala Sana Akili Yangu Kiasi Najikip Bize Kusoma Hadith Za Shigongo, Kuperuzi,Mazoezi N.k Ili Kumsahau,Lakini Ari Ni Tete!
Nilichoamua Sasa... Nimtafutie Dawa Itakayomfanya Nae Anipende Na Kunisikiliza Katika Yote Mema,Kama Nisikiavyo Kuwa Kuna Waganga Wa Haya Mambo(Limbwata)
Ama Nipate Dawa Ya Kumsahau Yeye!
Je,Wapi Nitapata Haya Mambo Mbali Na Utapeli Wa Mjini? Kwa Yeyote Anaefahamu AniPM TAFADHARI WAKUU!
NB😛ISHANA NAMI ILA HUSITUKANE ALAMA ZA MIGUU YANGU,KWANI UTOKAKO NDIKO NIENDAKO!
kila Mtu Anakila Hasichopenda Mpenzi Wake Afanye...Kuna Wengne Hawapendi Wapenzi Wao Wavae Hereni N.k
Mimi Sipendi Mpenzi Wangu Avae Suruali Kwani Ilizidisha Chachu Ktk Muonekano Wa Maungo Yake!
KONGOSHO Nimekuzoea ,Nishauri basi!
Sikushauri suala la kutumia limbwata, nakuhakikishia badala ya kufurahi itakuwa ni kero kwako......... Utakuwa unafuatwa hadi chooni, utatamani ku-reverse the effect ya hilo limbwata, na hautaweza........
Cha msingi ni kukubaliana na hali halisi........... kubali yaishe, hujui Mungu anakuepusha na balaa gani mkuu, kulazimisha sana, mwisho wake utakuja kulilia chooni kwa kujificha mkuu
Kubaliana na hali halisi, after that kila kitu kitakuwa rahisi sana, take it from me brother.....
Wanasema time heals, relax endelea na maisha, halafu utaona mambo yatavyojipa, utampata mnaependana kwa dhati.
Ni hayo tuu mkuu, thats my advice, all in all the decision is yours kaka!! All the best.....