Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Elimu murua
Shida iko tumboni kwako,we unatibu mdomoniNaomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na kugeuza uso
Naomba msaada wadau. Changamoto inanikosesha raha.
Unakunywa Kiasi Gani? ( Kipimo)
Inatumikaje?Limao (Ndimu) umejaribu
Nami pia napendekeza matumizi ya hii hydrogen peroxide japo nahisi inategemea na chanzo cha harufu. Inapatikana pharmacy.
Tshs 1000/=Nami pia napendekeza matumizi ya hii hydrogen peroxide japo nahisi inategemea na chanzo cha harufu. Inapatikana pharmacy.
Bacteria, au kuna stones zipo kwenye Kuta za koromeo mwanzoni zinatoaga harufu Kali ya ajabu kama usipozitoa then kitu kingine ni fizi kutoa dam ile dam ikibak mdomon ikikaa muda flan inaanza kutoa harufu mbayaNaomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.