Tiba mbadala ya malaria

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,574
3,635
Wakuu yani hapa nilipo najiskia hovyo kupita kiasi, na nahisi dalili za malaria ila nahitaji kujua tiba ya asili ya malaria km ipo mana km wk 3 zilizopta nlipata malaria na nkatumia dawa ila leo naiskia tena af inanipeleka mbaya mana mixa mafua yanatoka km maji bombani

Mwenye kujua dawa ya asili ama home remedy anijuze tafadhali au km hamna bc mnisaidie ni dawa gani bora kbs kwa kumaliza malaria mana mi sio mpenz wa dawa kabisaa
 
DAWA ASILIA YA MALARIA SUGU

Majani Ya Aloe Vera

Kama unasumbuliwa na Malaria Sugu fuata maelekezo yafuatayo kutayarisha dawa ya asili.

MAHITAJI :

i. Majani ya mwarobaini kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima.

ii. Majani ya Aloevela kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima..

iii. Maji safi na salama lita tatu.

Hatua Za Kufuata

Changanya majani ya mwarobaini na alovela kwenye sufuria, kisha ongeza lita tatu za maji safi na salama halafu chemsha pamoja mpaka utakapo ona mchanganyiko wako unatoa mchuzi ama soup. Ipua , chuja, kasha ihifadhi dawa yako kwenye chupa ya chai.

:
Kunywa kikombe kimoja cha dawa yako mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu mfululizo na malaria itapona.

ONYO: KWA MWANAMKE ALIYE KUWA NA MIMBA AKA MJAMZITO ASILE HII DAWA TAFADHALI.

DAWA YA PILI YA KUTIBU MALARIA SUGU ALTERNATIVELY :

Vile vile unaweza kutumia ndimu na maji ya madafu kujitibu malaria sugu.

i. Ndimu Saba Zilizo komaa vizuri.
ii. Maji Ya Madafu.

JINSI YA KUFANYA :

Chukua dafu, likate kisha maji yake uyahifadhi kwenye jagi, halafu chukua ndimu saba, zikamulie kwenye maji ya madafu halafu koroga mchanganyiko wako.

MATUMIZI :

Kunywa glasi mbili kwa siku, asubuhi glasi moja na jioni glasi moja. Fanya hivyo mpaka malaria itakapo ondoka.

UKIWA NA SWALI AU TATIZO LOLOTE UNAWEZA KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA. Mawasiliano
 
DAWA ASILIA YA MALARIA SUGU

Majani Ya Aloe Vera

Kama unasumbuliwa na Malaria Sugu fuata maelekezo yafuatayo kutayarisha dawa ya asili.

MAHITAJI :

i. Majani ya mwarobaini kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima.

ii. Majani ya Aloevela kiasi cha viganja viwili vya mtu mzima..

iii. Maji safi na salama lita tatu.

Hatua Za Kufuata

Changanya majani ya mwarobaini na alovela kwenye sufuria, kisha ongeza lita tatu za maji safi na salama halafu chemsha pamoja mpaka utakapo ona mchanganyiko wako unatoa mchuzi ama soup. Ipua , chuja, kasha ihifadhi dawa yako kwenye chupa ya chai.

:
Kunywa kikombe kimoja cha dawa yako mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu mfululizo na malaria itapona.

ALTERNATIVELY :

Vile vile unaweza kutumia ndimu na maji ya madafu kujitibu malaria sugu.

i. Ndimu Saba Zilizo komaa vizuri.
ii. Maji Ya Madafu.

JINSI YA KUFANYA :

Chukua dafu, likate kisha maji yake uyahifadhi kwenye jagi, halafu chukua ndimu saba, zikamulie kwenye maji ya madafu halafu koroga mchanganyiko wako.

MATUMIZI :

Kunywa glasi mbili kwa siku, asubuhi glasi moja na jioni glasi moja. Fanya hivyo mpaka malaria itakapo ondoka.

UKIWA NA SWALI AU TATIZO LOLOTE UNAWEZA KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA. Mawasiliano

nashukuru sana mkuu,,kwahyo unainywa ikiwa ya moto km chai ama unaeza kuipoza kidogo unywe km maji?
 
ikisha poa utakunywa...Kunywa kikombe kimoja cha dawa yako mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu mfululizo na malaria itapona.

dah aisee mkuu kumbe ni chungu kupita maelezo,,nimefanikiwa kunywa nusu kikombe tu,,jion ntajaribu kumaliza chote

Hakuna namna yoyote ya kupunguza huu uchungu mkuu?? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Majani ya aloe vera !!!!!!!!!! ufafanuzi MziziMkavu aloe vera inamajani au yale madude yake ndio majani ???????
 
Last edited by a moderator:
dah aisee mkuu kumbe ni chungu kupita maelezo,,nimefanikiwa kunywa nusu kikombe tu,,jion ntajaribu kumaliza chote

Hakuna namna yoyote ya kupunguza huu uchungu mkuu?? MziziMkavu

iongezee muarobaini na mchunga na asali kwa mbali ,
uchungu ukizidi wahi hospitali,
 
Attachments

  • mshubiri.jpg
    mshubiri.jpg
    6.6 KB · Views: 554
na vipi nitajuaje kama nina maralia sugu?

kwa sabau inanitesa sana napima leo nakuta maralia mbili, natumia dawa nakuwa fresh ila ndani ya mwezi au miezi nikipima tena nakuta maralia tatu mtindo ni huo huo kwa muda mrefu sasa.
 
Madawa ya jf huwa nayaogopa sana, madkt wa mchongo wamejaa humu.

Kwanini usijikaze ukatumia hizo dawa ndgu yangu.

Na siku nyingine kama hupendi dawa basi jitahidi kuepuka magonjwa.
 
Back
Top Bottom